Friday, June 8, 2012

ngumi kesho friends corner hotel

FADHILI MAJIA ambae ni bingwa UBO international na bingwa wa taifa wa flyweight-PST 2012, TPBO 2010,TPBC 2009 na chalenger wa ubingwa wa dunia wa WBO Afrika 2009 south Afrika amepima uzito na afya kiujumla kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake NASIBU RAMADHANI ambae ni bingwa wa WBF(World Boxing Forum International Flyweight Title
) 2011.
Zoezi zima la upimaji lilisimamiwa na TPBO likiongozwa na IBRAHIM KAMWE na kusema ya kuwa mabondia wote wapo katika afya njema na uzani wao wote wamepata 50.8kgs kwa pamoja hivyo wapo sawa kupigana kwa mujibu wa sheria za ngumi.
Tukumbuke majia alikwishawahi kuwa bingwa wa ubingwa huu mwaka 2008 na kuucha na kwenda kugombania ubingwa wa dunia south Afrika na hivyo kukaa bila kuutetea na kuchukuliwa na Haji juma wa Tanga,kwa sasa upo wazi na unagombewa tena na majia mwenyewe na nasibu Ramadhani bondia chipukizi na asiyepigika karahisi.
Katika mpambano huo pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi kama ifuatavyo na uzani wao waliopimaleo katika mabano -Abdala mohamed"prince naseem"(63kgs) aataminyana na seba temba(64kgs) wa morogoro raundi6,venas mponji(58.5kgs) na Amos mwamakula(60kgs), Yohana Robert(62kgs) na Badi mombasa(61), Kasim mbundike(57kgs) na Epson john wa morogoro(57.8kgs), iddi mnyeke 63 na Fadhili awadhi 63
mapambano yanategemewa kuanza saa kumi na moja jioni katika ukumbi wa FRIENDS CORNER HOTEL
REGALDS
KATIBU TANZANIA PROFESIONAL BOXING
IBRAHIM ABBAS KAMWE"BigRight"
+255 713501991
+255 767501991
+255 784501991
bigrightboxing.blogspot.com

Wednesday, June 6, 2012

Wednesday, May 30, 2012

bradley-paquiao wagumu wa ukweli WBO hapatoshi

pac3.png image by jimihantak
bondia mwenye speed ya ajabu manny paquiao'paq man'  na Timoth bradley'desert storm' bondia ambaye hayajui machungu ya kupigwa yeye ni kushinda tu tena kawapiga mabondia wagumu wakutisha, wanakutanishwa 9/6/2012 MGM Grand na 10/11/2012 ikiwa kutatokea kutokubaliana na matokeo